msomi uchwara
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 4,280
- 7,903
Ni ligi ya sita mkuu na sio ya Tano kama tulivyokua tukiambiwaNaangalia hapa mpira wa Chama langu Simba na prison, ninayo yaona nafsi imekataa kabisa kuamini kwamba hii ni ligi ya tano kwa ubora kama tunavyoaminishwa, sasa napiga picha hiyo ligi ya mwisho kwa ubora sijui wanachezaje.
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app