Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
HahahahahaaaaSimba akiongoza msimamo ujue Yanga ana kiporo.......
Hahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaaaaSimba akiongoza msimamo ujue Yanga ana kiporo.......
Hahahaha
Hatijawahi ringaHata haturingi
Ya nini..Haya wachambuzi waandamizi kutoka Utopolo muanze kazi sasa
Shukrani mkuuHongera sana
Umeimba peke yakoKuimba kupokezana
Nenda kachukue kiroba cha mchele huko Ihefu 🤣Kwahiyo leo mnacheza vizuri sio .!??
Refa mzuri leo!?
Mikia bana..
Muwekage akiba basi
Gamondi huyu
Ya nini..
!??muda hatuna
Mpeleke mbarariUnak
Nenda kachukue kiroba cha mchele huko Ihefu 🤣
Imeisha tayariHii mechi bora iishe tu
SanaAlaa..
Kwahiyo mambo poa!?
🤣🤣🤣
Tukuletee pilau au ubwabwa wa kawaida? Vipi uji wa mchele unatumia?Kwahiyo leo mnacheza vizuri sio .!??
Refa mzuri leo!?
Mikia bana..
Muwekage akiba basi
🤣🤣🤣🤣Tukuletee pilau au ubwabwa wa kawaida? Vipi uji wa mchele unatumia?
Simba apigwe tatu atulie hvi hvi
mashabiki wanagwaya kubwabwaja yanga kufungwa jana coz wanajua hatma yao leo ni mbovu sana 😆