Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
Haujavuka! Tulikubaliana ili liwe goli nyavu lazima zitikisike๐๐๐Hili goli la mazembe mpira umevuka mstari wote kwa 100% kweli?/๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haujavuka! Tulikubaliana ili liwe goli nyavu lazima zitikisike๐๐๐Hili goli la mazembe mpira umevuka mstari wote kwa 100% kweli?/๐๐๐
Sindano..! Yanga kuhama Azam Complex ni baada ya njama zao kubainika.Yaan hadi najiuliza, mbna sio Nzengeli yule wa [emoji91][emoji91]
Kakalia kimojaTayariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Poleeee sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dah... Hii Timu, Mimi ndio maana nashabikia mpira moyoni TU. Hata iweje Huwa sioneshi. Sasa juzi ndio mtoto kaniuliza wewe Timu Gani ndio kumwambia kwa hapa Tanganyika ni Yanga.... Timu yenyewe Toka niitambulishe rasmi ndio inaanguka TU.....
Lina mashaka hili ๐๐๐
Siku hizi hachomei Sindano sindanoYaan hadi najiuliza, mbna sio Nzengeli yule wa [emoji91][emoji91]
Kitamboo tyuuh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kakalia kimoja
Hahaha, Ndo ishapita hivyo boss.Soka la Africa miyeyusho sana ๐ ๐
Kapigwa kwenye mshono tena huyu mbweha!Tp wasifumue sana huu mshonoView attachment 3176578
Uwanja wa Azam siyo mzuri sana kucheze pale. Pia Mobeto ameitia nuksi timu! ATAFUTWE MZEE MPILI NA MAGOMA WAELEZE TATIZO NINI HASA๐๐Hakuna timu hapo mjukuu. Tutapigwa hata khamsa leo. Hata sijui nini kimetokea kwa Yanga hii iliyokuwa ya moto majuzi tu hapa. Sad!
Hujui kama Wote mpaka melo Maxence Melo naye Yanga ๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Huyu kocha wa Yanga haonekani kuwa na jambo lolote la kuongeza kwa wachezaji, timu inacheza kichovu sana na bila mipango ya kueleweka. Huyu mara 50 ndio unampata Gamond. Yanga ikipoteza hii game ianze kwa kufukuza huyu kocha.Soka la Africa miyeyusho sana ๐ ๐
Duu!Y-anga
A-Afungwe ~ YAS
S- Sana