FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Dah... Hii Timu, Mimi ndio maana nashabikia mpira moyoni TU. Hata iweje Huwa sioneshi. Sasa juzi ndio mtoto kaniuliza wewe Timu Gani ndio kumwambia kwa hapa Tanganyika ni Yanga.... Timu yenyewe Toka niitambulishe rasmi ndio inaanguka TU.....
Poleeee sanaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: rr4
Stats
PXL_20241214_135405372.jpg
PXL_20241214_135403145.jpg
PXL_20241214_135400657.jpg
PXL_20241214_135358296.jpg
 
Hakuna timu hapo mjukuu. Tutapigwa hata khamsa leo. Hata sijui nini kimetokea kwa Yanga hii iliyokuwa ya moto majuzi tu hapa. Sad!
Uwanja wa Azam siyo mzuri sana kucheze pale. Pia Mobeto ameitia nuksi timu! ATAFUTWE MZEE MPILI NA MAGOMA WAELEZE TATIZO NINI HASA๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Back
Top Bottom