Tumwesige senior
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 3,506
- 6,305
Oya TP hao jamaa msiwapakie vumbi,watakimbia mapema,muwafunge kikawaida
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna cha kuwaombea kwa Mungu! Yaani Mungu aache majukumu ya msingi aje kuhangaika na Yanga? Viongozi waliyakanyaga Wenyewe kwa kumfukuza Gamondi katikati ya shughuli! Wapigwe tu mpaka wajinyee!
Viongozi wamefanya upumbavu!Wenye litimu lao wamelisusa kabisa😭😭😭
Yanga kufungwa Leo na TP Mazembe, Simba kucheza kesho na CS Sfaxien!🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ TP Mazembe🆚Young Africans SC
📆 14.12.2024
🏟 Stade TP Mazembe
🕖 3pm🇨🇩4pm🇹🇿
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 3176171
Weka na matokeo kabisa as yanajulikana.🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ TP Mazembe🆚Young Africans SC
📆 14.12.2024
🏟 Stade TP Mazembe
🕖 3pm🇨🇩4pm🇹🇿
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 3176171
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ TP Mazembe🆚Young Africans SC
📆 14.12.2024
🏟 Stade TP Mazembe
🕖 3pm🇨🇩4pm🇹🇿
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 3176171
TP 3- 1 Utopolo.Weka na matokeo kabisa as yanajulikana.
Sindano je!🤓
Watakufa kiume....
notedLeo ndio yanga inafufuka na kuonesha makali yake