FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Tutegemee quality mbovu ya picha.
Mechi zote za Tp Mazembe kwenye huo uwanja video zake zinakuwaga kama za vintage
Basi hapo Yanga watapata sababu utasikia tungefunga ila magoli msingeyaona vizuri tukaamua tuache tu , na kale katoto kamwe sijui kanawaonaje vyura mara kawafunge kamba mara awapake bleach la nywele yani tafrani
 
Kila la kheri CLUB YA TAIFA, leo tunashinda na kufufua matumaini ya kusonga mbele, japo makolo watanuna.
 
Mwenye nyimbo ya yanga inafungwaje tafadhali sindikizia huu uzi.....
20241214_072240.jpg
 
Mazembe hawapo vizuri msimu huu nimewaona mechi zao Yanga akikomaa anaweza kutoboa ila wakomae kweli na asicheze Mwamnyeto na Ki ila akianza Ki watapata tabu sana Yanga maana Ki anatembea tu Uwanjani sasa hivi hata huyo Diara uwezo wake umepungua pia..
 
Back
Top Bottom