Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Daima nyuma,mwiko kuna mbele!Daima mbele,nyuma mwiko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daima nyuma,mwiko kuna mbele!Daima mbele,nyuma mwiko
😀😃😃😄😄😄😂😂Tuwekee basi wimbo wa Hamonaiza utuburudishe wakati tunasubiri mpira
Mechibya wanaojikongoja 🤣🤣🤣🤣Kesho wanacheza Ken Gold na Namungo kwanini usianzishe uzi?
Kunguru wa Lubumbashi naamini video za mechi ya Tabora dhidi ya Uto na ile Azam dhidi ya Uto mnazo, zitumieni vizuri ili muwabonde hao Utopolo warudi huku wanalia!!🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ TP Mazembe🆚Young Africans SC
📆 14.12.2024
🏟 Stade TP Mazembe
🕖 3pm🇨🇩4pm🇹🇿
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 3176171
Vincenzo Jr umemsikia rais wenu anavyowataka vyura muombe Mungu mshinde?
Deadmen dont talk, but they will do todayLeo ndio yanga inafufuka na kuonesha makali yake
Duh aisee upo sawa kichwani binti yangu? Shida ni kwamba mpira umevamiwa na mazuzu ambayo hata mpira hawajawahi kucheza...Mtu yeyote aliyecheza mpira alikuwa anajua kuwa tangu mwanzo wa msimu mpya wa ligi kuu Yanga kaanza kwa kuchechemea san....morali ya wachezaji kupambana ilishuka mno hii inatokana na wachezaji kutumika mno na lilipokuja suala la usajili napo Yanga ikafeli sana kiufupi sajili zote alizozifanya ni kwamba hakuna hata mmoja alieleta kitu kipya hadi sasaWewe hadi leo hujaijua tu timu yako, yani yanga huwa wanakuwa na fighting spirit pale wanapocompete na simba tu, hata kwenye ligi yanga ikicheza na simba ndio inakamia zaidi kuliko ikicheza na timu nyingine yoyote
Yani michuano yoyote ambayo simba yupo ndio yanga hutaka kujitutumua hii cafcl simba angekuwepo yanga lazima wangekaza tu, maana wanajua simba robo fainali ni lazima hivyo na wao wasingekubali kuishia makundi, kuna mtu alisema cafcl kuwepo yanga peke yake bila simba hainogi na kuna uwezekano yanga wasifike mbali maana simba anayewapa changamoto hayupo
Mkajifanya kufurahia simba kuangukia cafcc matokeo yake ninyi mmeenda huko mmekosa morali mmebweteka, yote hiyo ni kwa sababu ninyi lengo la kupambana kwenu ni kushindana na simba na kufukuzia rekodi za simba tu na si vinginevyo, ilihali simba yeye anapambana kivyake anaweza kufika mbali kwenye michuano bila yanga kuwepo
Acha bana😂😂😂😂😂Leo ndio yanga inafufuka na kuonesha makali yake