Wewe hadi leo hujaijua tu timu yako, yani yanga huwa wanakuwa na fighting spirit pale wanapocompete na simba tu, hata kwenye ligi yanga ikicheza na simba ndio inakamia zaidi kuliko ikicheza na timu nyingine yoyote
Yani michuano yoyote ambayo simba yupo ndio yanga hutaka kujitutumua hii cafcl simba angekuwepo yanga lazima wangekaza tu, maana wanajua simba robo fainali ni lazima hivyo na wao wasingekubali kuishia makundi, kuna mtu alisema cafcl kuwepo yanga peke yake bila simba hainogi na kuna uwezekano yanga wasifike mbali maana simba anayewapa changamoto hayupo
Mkajifanya kufurahia simba kuangukia cafcc matokeo yake ninyi mmeenda huko mmekosa morali mmebweteka, yote hiyo ni kwa sababu ninyi lengo la kupambana kwenu ni kushindana na simba na kufukuzia rekodi za simba tu na si vinginevyo, ilihali simba yeye anapambana kivyake anaweza kufika mbali kwenye michuano bila yanga kuwepo