FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Hamisa mobeto
Kwa ulichofanya ahsante mamaπŸ™πŸ»πŸ™πŸ»
 
Hii timu yangu Mazembe inacheza kizembe sana, wanazingua.
 
Mazembe wasianze kupaki bus mapema hivi, wacheze soka la mashambulizi km kawa.
Mocha wa yanga cjui anaona kitu gani Kwa Aziz Ki,sub yake alitakiwa kuingia Chama na Si heye jamaa anaikaba timu mwanzo mwisho
 
Hahahaha ila mechi za maniga zina mbwembwe zake

Yani kipa kaguswa kidogo eti kajilaza anaugulia maumivu. Lakini hiyo yote kupoteza muda kwasababu wanaongoza.
 
Hawa Tp Mazembe walikuwa ni level yenu kabisa na mlistahili kuwamudu

Kwa piga nikupige zao wanazocheza hapa sioni wakifanya chochote iwapo watapita robo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…