Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Shisha hamuipi lawama?Hamisa mobeto
Kwa ulichofanya ahsante mama🙏🏻🙏🏻
Anaongoza azizi kiSi Mazembe si Gongowazi
Wote wanapoteza pasi kizembe
Nilwaonya mapema kuhusu Diarra ila nikapuuzwaDiarra Siku hizi Limegeuka kuwa ni Shati golini....! Poleni Utopolo
Wewe ni mkongo?Freekick tunapata
MapaziaHamisa mobeto
Kwa ulichofanya ahsante mama[emoji1317][emoji1317]
Inabidi wajitahidi kila mtu ashinde mechi zakeMazembe hii ingekua ndio ile uto wangekufa nyingi mbona. Sema hata wao wamejichokea.
Mocha wa yanga cjui anaona kitu gani Kwa Aziz Ki,sub yake alitakiwa kuingia Chama na Si heye jamaa anaikaba timu mwanzo mwishoMazembe wasianze kupaki bus mapema hivi, wacheze soka la mashambulizi km kawa.
Mnashindwaje sasa kuwafunga?Mazembe hii ingekua ndio ile uto wangekufa nyingi mbona. Sema hata wao wamejichokea.
Mazembe wamepoa sana na Bora hawakupata nafasi ya kwenda kucheza klabu bigwa ya Dunia wangetutia aibu ya mwakaMazembe hii ingekua ndio ile uto wangekufa nyingi mbona. Sema hata wao wamejichokea.
Kwenye jezi za Mazembe kifuani kumeandikwa Simba