FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Hamisa mobeto
Kwa ulichofanya ahsante mama🙏🏻🙏🏻
 
Mazembe wasianze kupaki bus mapema hivi, wacheze soka la mashambulizi km kawa.
Mocha wa yanga cjui anaona kitu gani Kwa Aziz Ki,sub yake alitakiwa kuingia Chama na Si heye jamaa anaikaba timu mwanzo mwisho
 
Hahahaha ila mechi za maniga zina mbwembwe zake

Yani kipa kaguswa kidogo eti kajilaza anaugulia maumivu. Lakini hiyo yote kupoteza muda kwasababu wanaongoza.
 
Hawa Tp Mazembe walikuwa ni level yenu kabisa na mlistahili kuwamudu

Kwa piga nikupige zao wanazocheza hapa sioni wakifanya chochote iwapo watapita robo
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    24.1 KB · Views: 2
Back
Top Bottom