FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Viongozi wamefanya upumbavu!
Nilikuwa nasema sana humu kuwa manara nimtu muhimu sana ana uzoefu wa kutosha,wengine walibaki kukebeho kuwa anacheza namba ngapi?maneno hayo yamewapa viongozi kiburi nabado wasipoacha kiburi hata nafasi ya pili kwenye ligi hatutaipata kwa maana bingwa atakuwa Simba.
 
Ila huyo mchukua video kama kachanganyikiwa yani mpira upo kwingine yeye anaonyesha kwingine, haya mambo wamuachie azam tv tu ndio anayaweza
 
Pacome anapiga kona km vile kalazimishwa. Hana mood kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…