FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Nilikuwa nasema sana humu kuwa manara nimtu muhimu sana ana uzoefu wa kutosha,wengine walibaki kukebeho kuwa anacheza namba ngapi?maneno hayo yamewapa viongozi kiburi nabado wasipoacha kiburi hata nafasi ya pili kwenye ligi hatutaipata kwa maana bingwa atakuwa Simba.
Wakati wa dirisha la usajili hizi kaulu hamkua nazo, mlikua mnatisha watu
 
Dakika ya 80'

Yanga imepiga jumla ya mashuti 12

Na umiliki kwa 52% dhidi ya 48
 
EC62D38B-E993-4371-8666-9FA0E2979A32.jpeg
 
Halafu huyu Baka huyu anatafuta red card
 
Haka kajamaa kanacheza faulo mbaya sana ni basi tu kakutana na refa msabato
 
Back
Top Bottom