Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Bilioni 2.Zile zilikuwa ni siasa tu
Mzize hana value ile
Yanga wakatae bilioni 2 ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bilioni 2.Zile zilikuwa ni siasa tu
Mzize hana value ile
Nilikuwa nasema sana humu kuwa manara nimtu muhimu sana ana uzoefu wa kutosha,wengine walibaki kukebeho kuwa anacheza namba ngapi?maneno hayo yamewapa viongozi kiburi nabado wasipoacha kiburi hata nafasi ya pili kwenye ligi hatutaipata kwa maana bingwa atakuwa Simba.Viongozi wamefanya upumbavu!
Aziz Ki ni [emoji294] kwenye team, lazima acheze haijalishi ataanzia bench.Mocha wa yanga cjui anaona kitu gani Kwa Aziz Ki,sub yake alitakiwa kuingia Chama na Si heye jamaa anaikaba timu mwanzo mwisho
Ewaaa nilikuwa natafuta channel nyingine .Kumbe wanaonyesha humu .Azam kumenishindaHuyu mtangazaji wa bein sports 3 amesema Mzize ana umri wa miaka 20
Sikujua kama Yanga walikuwa serious kiasi wafikie hatua ya kuwapotosha hadi wazungu.
Hata milion 500 tu ningebishaBilioni 2.
Yanga wakatae bilioni 2 ?
Usimsahau Diarra 🤣🤣Vimeo mchezo wa Leo.
Kibabage
Bacca
Aucho
Wengine mkuranga [emoji23][emoji23][emoji23]Refa maliza Mpira wengine tunakaa Kisemvule[emoji23]
Ndio anaye sababisha watu waseme lile sio goliCamera man wa hii Mechi ni mshenzi sana
Wote wamekutana pipa na mfunikoSi Mazembe si Gongowazi
Wote wanapoteza pasi kizembe
Ila huyo mchukua video kama kachanganyikiwa yani mpira upo kwingine yeye anaonyesha kwingine, haya mambo wamuachie azam tv tu ndio anayaweza🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰
🏆 #CAFCL
⚽️ TP Mazembe🆚Young Africans SC
📆 14.12.2024
🏟 Stade TP Mazembe
🕖 3pm🇨🇩4pm🇹🇿
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 3176171
Kikosi kinachoanza dhidi ya TP Mazembe
View attachment 3176535
Mpira umeanza
Dakika ya 2
Yanga Sc wanafanya mashambulizi
Dakika ya 9
TP mazembe wanafanya mashambulizi
Dakika ya 14
Mudathir anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 23
TP mazembe wanapata kona
Dakika ya 29
TP mazembe wanafanya mashambulizi kwa kasi
Dakika ya 30
Diarra anapatiwa matibabu uwanjani mechi imesimama hapa uwanjani
Dakika ya 40
TPM 0-0 YNG
Dakika ya 41
TP mazembe wanapata goli
Dakika ya 44
Duke anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 45+4
𝐇𝐀𝐋𝐅 𝐓𝐈𝐌𝐄⏱️| #CAFCL
TP Mazembe 1-0 Young Africans SC
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 3176603
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 51
Mzize anakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 57
TP mazembe wanakosa nafasi ya wazi
Dakika ya 61
Mabadiliko anatoka musonda anaingia dube
Dakika ya 64
TP mazembe wanapata Free kick
Dakika ya 69
Mechi imesimama mchezaji wa TP mazembe yupo chini
Wenyewe walihama uwanja wewe unahama channel😄😃😀Ewaaa nilikuwa natafuta channel nyingine .Kumbe wanaonyesha humu .Azam kumenishinda
Sijui camera man anatumia simu kuchukua videoNdio anaye sababisha watu waseme lile sio goli
Waongo waongo tu hakuna mpira wowote hapo unachezwaWote wamekutana pipa na mfuniko
Leo kdg anajitahidAziz Ki ni [emoji294] kwenye team, lazima acheze haijalishi ataanzia bench.