FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Hii mechi sio ya Yanga kutoa sare kocha kaikosea sana kipindi cha kwanza katika upangaji wa kikosi ukizingatia na Tp Mazembe imeshajichokea
Sijui Yanga wanasubiri nini kufukuza huyu kocha, mule ni kasha tu. Yanga ilikuwa na uwezo wa kushinda hii gemu na ile ya Al Hilal. Ukiona kocha ni kupiga suti tu bila matokeo, huenda huyo ni wakili kajificha kwenye ukocha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…