FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

20241214_182244.jpg

😀😃😃😃
 
Mbona mazembe wazembe tu ...

Mfano Yanga Golini wangekua na Camara, beki ya kushoto Zimbwe na kulia Kapombe.

Pale mbele angesimaa Areba.

Mazembe Wangekufa 3+
Hao wa shirikisho wafuate nini huku kwa wakubwa??
 
Kama uongozi wa Yanga upo serious waangalie namna ya kuzicheza hizi mechi mbili zinazofuata huyu kocha naona kama pambo tu hana uwezo wowote ule hasa kwenye kupanga kikosi na mbinu. Yanga ina fixture nzuri sana aisee kama wanapiga hesabu vizuri wanaweza kufuzu
 

Attachments

  • IMG_20241214_183003.jpg
    IMG_20241214_183003.jpg
    240.3 KB · Views: 2
Fixture nzuri na ushiriki wenu unafikia tamati Januari 10 huko Mauritania?Ngebe zimeathiri matokeo.Mlishangilia ujinga mkasahau mpira unachezwa uwanjani sio kwenye midomo ya Ali Kamwe na Hersi waliokuwa wakirukaruka ratiba ilipokuwa ikipangwa.
 
Hii mechi sio ya Yanga kutoa sare kocha kaikosea sana kipindi cha kwanza katika upangaji wa kikosi ukizingatia na Tp Mazembe imeshajichokea
Mhh Mazembe hawa msimu uliopita walicheza nusu fainali ya CAF Championship. Kocha alikuwa sawa kuanza kwa tahadhari, hivi uliwaona na Al Hilal mechi ya juzi? Walipigwa ila walicheza mpira mwingi sana tena wa kasi, sema ndio hivyo Al Hilal mpira wao hauna vitu vingi, wanakupiga baadae wanaweka basi.
 
Kocha angeanza na Mzize na Dibe tangu kipindi cha kwanza tungeshinda hii game. Mara mia kuwa na washambuliaji butu kuliko viungo na wakinbiaji kama musonda
 
Back
Top Bottom