vibertz
JF-Expert Member
- Mar 15, 2022
- 2,474
- 4,726
Kwahiyo mkuu una imani na huyu kocha? Maana mimi nimeangalia wapinzani wetu wote watatu sijaona mpinzani anayetisha wote ni wa kawaida tu ila shida ni uzembe wa Yanga wenyewe ulinzi ovyo, kumalizia ovyo.Mhh Mazembe hawa msimu uliopita walicheza nusu fainali ya CAF Championship. Kocha alikuwa sawa kuanza kwa tahadhari, hivi uliwaona na Al Hilal mechi ya juzi? Walipigwa ila walicheza mpira mwingi sana tena wa kasi, sema ndio hivyo Al Hilal mpira wao hauna vitu vingi, wanakupiga baadae wanaweka basi.