chilonge
JF-Expert Member
- Dec 23, 2014
- 1,531
- 2,912
Side na Saidi walikutana. Ni ubovu wa Yanga tu ndo imepelekea wasipate matokeo.Aisee roho imeniuma sana hawa vitoga kusawazisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Side na Saidi walikutana. Ni ubovu wa Yanga tu ndo imepelekea wasipate matokeo.Aisee roho imeniuma sana hawa vitoga kusawazisha
Kwisha Habari YaoKimeumana
03/01/2025 vs TP MazembeSecond leg dhidi ya Yanga
Kwa hiyo Uto kwenye kundi lenu mko nafasi ya ngapi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kesho utafurahi
Sijui Yanga wanasubiri nini kufukuza huyu kocha, mule ni kasha tu. Yanga ilikuwa na uwezo wa kushinda hii gemu na ile ya Al Hilal. Ukiona kocha ni kupiga suti tu bila matokeo, huenda huyo ni wakili kajificha kwenye ukocha.Hii mechi sio ya Yanga kutoa sare kocha kaikosea sana kipindi cha kwanza katika upangaji wa kikosi ukizingatia na Tp Mazembe imeshajichokea
Shisha Bangi Dunga Mihadarati SC , nyinyi mna uwezo wa kuvuta cocaine tu na kujidunga sindano na kushinda bar mnavuta shisha ndicho mnachoweza sio mpira mbwa nyie [emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]Sasa rudini kwenye mashindano yenu ya wanawake
Walitaka wakongo wawape furaha😀😃😃Kuna watu Kamdomo kamewaponza, jifunzeni kuweka Akiba
Kweli.. hasa kale kasemaji chetu sisi UtoKuna watu Kamdomo kamewaponza, jifunzeni kuweka Akiba