Hapana mkuu, wanazigombania halafu kwa Yanga imekaa vibaya zaidi maana yeye ndo mwenye point chache. Ana kapoit kamoja tu. Yaani anatia aibu nchi ila akishinda mechi zake zilizobaki anapita.Kumbe ni kugombania et sasa mbn mna mmilikisha zote yanga
Hapo nimekuelewa mkuu nilijua una mpa nafasi mwenye point moja nafasi ya pili wkt kuna mwenye point nne any muuzija unaweza kutokeaHapana mkuu, wanazigombania halafu kwa Yanga imekaa vibaya zaidi maana yeye ndo mwenye point chache. Ana kapoit kamoja tu. Yaani anatia aibu nchi ila akishinda mechi zake zilizobaki anapita.
Inawekana kwenu mna udumavu kosa lake nini hata mimi nmesoma na watu wananizidi umriMzize amesoma na mdogo wangu mwenye miaka 29 sasa. Yeye umri wake unaenda unapungua!
Huyo wandakidi kadanganya umri bwana..mbona mnajikazaga kichwa wachezaji kibao wakiafrika wanadanganya sana umri lipo waziInawekana kwenu mna udumavu kosa lake nini hata mimi nmesoma na watu wananizidi umri
Kila kitu ni nidhamu tu hata ukiwa na kipaji kama hauna nidhamu ni bure Gaucho alikua na kipaji lakini alitaka mpira ndio umuheshimu yeye leo hii hayupo hawa wakina CR,Messi na Jesus wa Sevilla wapo wanacheza kwa sababu ya nidhamu ya mpira mtu anaweza kuwa na umri wowote akafanya jambo watu wanalolihitaji wakati huo..Roger Mila alicheza kombe la Dunia akiwa na 42..Huyo wandakidi kadanganya umri bwana..mbona mnajikazaga kichwa wachezaji kibao wakiafrika wanadanganya sana umri lipo wazi
๐๐๐๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐๐๐Wana utopolo wana midomooo ooh hakuna wa kuifunga yan'ga ooh hakuna mchezaji wa simba atakaeanza first elevn sasa fest ileveni yenyee ndo hyo?? Pambavuuuuu
Umeanza kuleta maswala ya nidhamu tena ilhali tunaongelea umri๐ ...tunachoongelea hapo ni either ana kiwango kizuri au sio kizuri lkn haiondoi the fact kadanganya umriKila kitu ni nidhamu tu hata ukiwa na kipaji kama hauna nidhamu ni bure Gaucho alikua na kipaji lakini alitaka mpira ndio umuheshimu yeye leo hii hayupo hawa wakina CR,Messi na Jesus wa Sevilla wapo wanacheza kwa sababu ya nidhamu ya mpira mtu anaweza kuwa na umri wowote akafanya jambo watu wanalolihitaji wakati huo..Roger Mila alicheza kombe la Dunia akiwa na 42..
Kwenye mpira nidhamu inabeba vitu vingi kaka Dillinger.Umeanza kuleta maswala ya nidhamu tena ilhali tunaongelea umri๐ ...tunachoongelea hapo ni either ana kiwango kizuri au sio kizuri lkn haiondoi the fact kadanganya umri
Tunachoongelea ni umri tu kama ana nidhamu nzuri asingedanganya umri angetaja umri wake halali na aendelee kusakata kabumbu๐ ....huyo jamaa mzize kasoma na mdogo wake aliye na miaka 29 na huyo sio wa kwanza kumsikia ...mbona unatumia nguvu kumtetea sana wandakidi wenu aliyezidiwa umri na dennis nkane?Kwenye mpira nidhamu inabeba vitu vingi kaka Dillinger.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hunizidi mimi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]๐ช๐ฒ๐๐ฒ ๐๐ฎ๐๐ฒ๐บ๐ฎ
Hakuna uwezo hapo maamuzi ya kukurupuku tu unamtoa Gamondi kwa kosa lipi ujinga tu..Shida ni suti au uwezo? Mbona mmepagawa mapema hivyo!?