FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Hapana mkuu, wanazigombania halafu kwa Yanga imekaa vibaya zaidi maana yeye ndo mwenye point chache. Ana kapoit kamoja tu. Yaani anatia aibu nchi ila akishinda mechi zake zilizobaki anapita.
Hapo nimekuelewa mkuu nilijua una mpa nafasi mwenye point moja nafasi ya pili wkt kuna mwenye point nne any muuzija unaweza kutokea
 
Huyo wandakidi kadanganya umri bwana..mbona mnajikazaga kichwa wachezaji kibao wakiafrika wanadanganya sana umri lipo wazi
Kila kitu ni nidhamu tu hata ukiwa na kipaji kama hauna nidhamu ni bure Gaucho alikua na kipaji lakini alitaka mpira ndio umuheshimu yeye leo hii hayupo hawa wakina CR,Messi na Jesus wa Sevilla wapo wanacheza kwa sababu ya nidhamu ya mpira mtu anaweza kuwa na umri wowote akafanya jambo watu wanalolihitaji wakati huo..Roger Mila alicheza kombe la Dunia akiwa na 42..
 
Wana utopolo wana midomooo ooh hakuna wa kuifunga yan'ga ooh hakuna mchezaji wa simba atakaeanza first elevn sasa fest ileveni yenyee ndo hyo?? Pambavuuuuu
😂😂😂😂🤣🤣🤣😂😂😂
 
1000204770.jpg
 
Kila kitu ni nidhamu tu hata ukiwa na kipaji kama hauna nidhamu ni bure Gaucho alikua na kipaji lakini alitaka mpira ndio umuheshimu yeye leo hii hayupo hawa wakina CR,Messi na Jesus wa Sevilla wapo wanacheza kwa sababu ya nidhamu ya mpira mtu anaweza kuwa na umri wowote akafanya jambo watu wanalolihitaji wakati huo..Roger Mila alicheza kombe la Dunia akiwa na 42..
Umeanza kuleta maswala ya nidhamu tena ilhali tunaongelea umri😂 ...tunachoongelea hapo ni either ana kiwango kizuri au sio kizuri lkn haiondoi the fact kadanganya umri
 
Kwenye mpira nidhamu inabeba vitu vingi kaka Dillinger.
Tunachoongelea ni umri tu kama ana nidhamu nzuri asingedanganya umri angetaja umri wake halali na aendelee kusakata kabumbu😅....huyo jamaa mzize kasoma na mdogo wake aliye na miaka 29 na huyo sio wa kwanza kumsikia ...mbona unatumia nguvu kumtetea sana wandakidi wenu aliyezidiwa umri na dennis nkane?
 
Back
Top Bottom