Baba Kisarii
JF-Expert Member
- May 7, 2024
- 1,844
- 3,089
Hiki ndicho kikosi cha kupambana na TP?DIARRA,YAO,BOKA,JOB,BACCA,AUCHO,PACOME,KI,MUDA,DUKE,CHAMA
Naona leo tena CHAWOTE anaenda kudanga Congo. Tusikilizie mimba nyingine tena!๐ฐ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ฐ
๐ #CAFCL
โฝ๏ธ TP Mazembe๐Young Africans SC
๐ 14.12.2024
๐ Stade TP Mazembe
๐ 3pm๐จ๐ฉ4pm๐น๐ฟ
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 3176171
Ndio wanaenda kucheza leo mkuu. Wameishapaa kwenda mbinguni kucheza na malaika.Hivi walishacheza na malaika au bado
Kayoko hayupo katika orodha ya waamuzi CAFCL so ubingwa mtausikia kwa watandaza kabumbu halisi tu.Yanga bingwa
Utalipa fidia?Hii game tukipigwa kocha asepe.
Very well narated ๐๐๐๐Wewe hadi leo hujaijua tu timu yako, yani yanga huwa wanakuwa na fighting spirit pale wanapocompete na simba tu, hata kwenye ligi yanga ikicheza na simba ndio inakamia zaidi kuliko ikicheza na timu nyingine yoyote
Yani michuano yoyote ambayo simba yupo ndio yanga hutaka kujitutumua hii cafcl simba angekuwepo yanga lazima wangekaza tu, maana wanajua simba robo fainali ni lazima hivyo na wao wasingekubali kuishia makundi, kuna mtu alisema cafcl kuwepo yanga peke yake bila simba hainogi na kuna uwezekano yanga wasifike mbali maana simba anayewapa changamoto hayupo
Mkajifanya kufurahia simba kuangukia cafcc matokeo yake ninyi mmeenda huko mmekosa morali mmebweteka, yote hiyo ni kwa sababu ninyi lengo la kupambana kwenu ni kushindana na simba na kufukuzia rekodi za simba tu na si vinginevyo, ilihali simba yeye anapambana kivyake anaweza kufika mbali kwenye michuano bila yanga kuwepo
Ndio nitalipa.Utalipa fidia?
Ngoja nikitafute hiki kipande nikitumie baadae.Kunguru wa Lubumbashi naamini video za mechi ya Tabora dhidi ya Uto na ile Azam dhidi ya Uto mnazo, zitumieni vizuri ili muwabonde hao Utopolo warudi huku wanalia!!
Wamerudi wanalia eeeehhh๐ต๐ต
Huruma wanatia huruma๐ถ๐ถ
View attachment 3176352
Katangaze pale utopoloni ๐ ๐ ๐Ndio nitalipa.
Leo ndio safari ya injinia na kocha wake wa mchongo inafika mwishoNgoja tuoneโฆ
Sawa.Katangaze pale utopoloni ๐ ๐ ๐
Hapo TUMBILI wanapigwa tena