FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Ubaya ubwela......tupo hapa Lubumbashi kwa wingi tuna ngojea muda muchezee KOKI kwa Mara nyingine ili muelekeze nguvu ligi kuu Tanzania bara ambapo mtapigwa na kila anae jiweza.
 
Ila tukubali tu fighting spirit ya wachezaji wa Yanga kwa sasa ipo chini sana. Am very sorry to say that! All in all, i wish them all the best. πŸ’›πŸ’š
Kuna kitu hakipo sawa pale jangwani ukianzia kwa Diara yani ni kama hana mzuka tena na timu au anaumwa hivi..
 
Leo ni Leo tunaenda piga mtu nakurudi kibabe
 
Yanga Ikifungwa kocha afukuzwe

Injinia hersi said atuachie timu yetu

Hii timu ya kwetu wananchi
 
Hatimae Yanga inarudi rasmi kuendelea na NBC.

Rasmi mrudi tu kumalizia viporo vyenu.
 
Kila la kheri chama langu Young africans sc πŸ’šπŸ–€πŸ’›πŸ–€πŸ’šπŸ–€πŸ’›πŸ–€πŸ’šπŸ–€πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’›πŸ’š

We win together, We loose together

#DaimaMbele πŸ’šπŸ’šπŸ’š #NyumaMwiko πŸ’šπŸ’šπŸ’›
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…