Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ata mm nishaona anataka alete kivumbiiNgimbi Vumbi atawaliza watu muda si mrefu
Yeah...
Wachezaji viwango vimeporomoka haswa ukijumlisha na uwezo duni wa kocha ndio kabisaTeam hata haiwez kupiga pasii tano zikafikaa [emoji706]
Ndio sababu moda wameona mechi ichezwe Kibubu bubuKimsingi mpira hata hauvutii, namaliza MB zangu bure tu... nitarudi kuangalia matokeo...
Tumu imeporomoka kiwango kiasi cha kusikitisha...Ndio sababu moda wameona mechi ichezwe Kibubu bubu
Wajidunge tuTumu imeporomoka kiwango kiasi cha kusikitisha...