FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Ukishaaona sub ya kipa inafanya warm up ujue kuna chuma kipo jirani kukata moto
 
Mwanzo Gongowazi walikuwa wanafika kwenye box la Mazembe na kutengeneza hatari lakini ile sub ya Tp Mazembe imekata kabisa huo mwanya
Vyura kipindi cha pili watacharuka
 
Possesion imerudi kwa wenyeji kupitia sub moja
PXL_20241214_134100734.MP.jpg
PXL_20241214_134103021.MP.jpg
PXL_20241214_134059235.MP.jpg
 
Back
Top Bottom