FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Musonda kakosa bao la wazii kabisaaa, hadi nashangaa inakuaje?
Mbna haikua hivi? Doooh
Ndio maana wachezaji wanaocheza ligi za Africa ni ngumu sana kuwekwa kwenye Tuzo kubwa za kidunia ile Ngoma angekua mtu kama mbappe tuondokeee
 
Diarra ameona isiwe shida na mwenzangu aje amalizie lawama zilizobaki
PXL_20241214_141000458.jpg
 
Sub kwa Yanga Dk 47

Djigui Diara nje

Khomeiny Abubakar Ndani


Maxi nje
Mzize ndani

Azizi Ki ndani,
Mudathir nje
 
Back
Top Bottom