FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

FT:TP Mazembe 1-1 Young Africans SC | CAF CL |Stade TP Mazembe | 14.12.2024

Manara ni tapeli wa mitandao, aendelee tu kuwa utopoloni akiwahujumu kwenye media.
Manara ni jasusi,ndiye anawapeleka wachezaji wa Yanga club na kuwatafutia mademu,ndiye alimuunganisha Aziz Ki na mwanasimba Hamisa Mobeto na pia amewafundisha kuvuta shisha,kwa kweli Haji Manara amejua kuipigania Simba yake.
 
Zimebaki sekunde
PXL_20241214_145554577.jpg
 
🔰𝐍𝐄𝐗𝐓 𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇🔰

🏆 #CAFCL
⚽️ TP Mazembe🆚Young Africans SC
📆 14.12.2024
🏟 Stade TP Mazembe
🕖 3pm🇨🇩4pm🇹🇿

#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 3176171
Kikosi kinachoanza dhidi ya TP Mazembe
View attachment 3176535
Mpira umeanza
Dakika ya 2
Yanga Sc wanafanya mashambulizi

Dakika ya 9
TP mazembe wanafanya mashambulizi

Dakika ya 14
Mudathir anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 23
TP mazembe wanapata kona

Dakika ya 29
TP mazembe wanafanya mashambulizi kwa kasi

Dakika ya 30
Diarra anapatiwa matibabu uwanjani mechi imesimama hapa uwanjani


Dakika ya 40
TPM 0-0 YNG

Dakika ya 41
TP mazembe wanapata goli

Dakika ya 44
Duke anakosa nafasi ya wazi


Dakika ya 45+4
𝐇𝐀𝐋𝐅 𝐓𝐈𝐌𝐄⏱️| #CAFCL

TP Mazembe 1-0 Young Africans SC

#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
View attachment 3176603
Kipindi cha pili kimeanza
Dakika ya 51
Mzize anakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 57
TP mazembe wanakosa nafasi ya wazi

Dakika ya 61
Mabadiliko anatoka musonda anaingia dube

Dakika ya 64
TP mazembe wanapata Free kick

Dakika ya 69
Mechi imesimama mchezaji wa TP mazembe yupo chini

Dakika ya 76
Mabadiliko anatoka duke anaingia chama

Dakika ya 83
TP mazembe wanapata Free kick

Dakika ya 85
TPM 1-0 YNG

Dakika ya 90+4
Kamera za Azam vipi?
 
Back
Top Bottom