Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Yanga makundi anatolewa kama kawaida 😂Sijui kama nitaangalia hii game.
Sitaki kabisa kumuona yule kocha anaetupeleka shimoni.
Tukivuka makundi Mungu mkubwa🙁🙁🙁🙁
Mali hizoeneo la ushambuliaji linaongozwa na Toure pamoja na Sele wote viazi, ila Injinia 😆😆😆
Nachokiona uwanjani nashindwa hata kusema kama ni ubovu wa wachezaji ama kocho ndiye anayesababisha tuone wachezaji ni wabaya. Huyu Toure mwanzoni mwanzoni nilikuwa naona impact yake kwenye timu na nilimuona sio mchezaji mbaya. Ila siku hizi wachezai wapya tuliyokuwa tunaona ni wazuri wanazidi kuporomoka viwango. Hadi wale wa zamani nao hivyo hivyo kabakia Maxi pekee. Hii hali ilikuwa hivi hivi kwa Folzeneo la ushambuliaji linaongozwa na Toure pamoja na Sele wote viazi, ila Injinia 😆😆😆
Goli la Selemani Mwalimu limekatakiwa ni faulo ilichezwa kabla ya goliVipi huko
shida azam nao wanakuwa wazembe hata hawarudiii tuone shida ipo kweli ama hapanaGoli la Selemani Mwalimu limekatakiwa ni faulo ilichezwa kabla ya goli
Kweli replay haijaonyesha vizuri kabisashida azam nao wanakuwa wazembe hata hawarudiii tuone shida ipo kweli ama hapana
Yanga anafungwa mojaYanga yupo anakimbizwa tu. Leo ni Draw