Watu wamelala.
Wananchi Yanga SC kucheza mchezo wa pili wa kimataifa, Jumatano hii watacheza na TS GALAXY wenyeji wa mashindano ya Mpumalanga Premier International Cup
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni
PIA SOMA
- Yanga yaalikwa Afrika Kusini kushiriki Mpumalanga Cup
Kuna tatizo? Mbona wewe umechangia mapema sana pia kwanini usingesubiri muda unaoona unafaa ndiyo ukachangia?Mbona uzi umekuja mapema mno?
Bora umetoa tahadhari isije baadae wakasema ni team ya wakulima πHawa Galaxy ndio walikua wanamfunga Mamelodi na Pirates Timu ipo humo ngoja tusubiri boli la maana hiyo baadae..
Yah Azam TvItaonekana kwa TV?
Azam wametuahidi hii burudani.Itaonekana kwa TV?