Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
SawaUto wana draw na kikosi C
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaUto wana draw na kikosi C
Ndio ila hili ni kombe la Toyota waliocheza Leo ni kombe la mpumalanga cup fainali wanacheza Augsburg na TS GalaxyAsante
Ndo fainali!?
Toyota ndo watacheza na kaizerNdio ila hili ni kombe la Toyota waliocheza Leo ni kombe la mpumalanga cup fainali wanacheza Augsburg na TS Galaxy
NdioToyota ndo watacheza na kaizer
ShukraniNdio ila hili ni kombe la Toyota waliocheza Leo ni kombe la mpumalanga cup fainali wanacheza Augsburg na TS Galaxy
Hili halihusiani na match ya Kaizer Chiefs,Hili ni kombe la Mpumalanga tofauti na Toyota Cup la Kaizer Chiefs.Ndio maana Diara alikuwa anapoteza muda. Mimi nilidhani ni mechi za kirafiki, kumbe kuna kombe kabisa
Daima mbeleeeee
niko nyuma yakoDaima mbeleeeee
Huko nyuma yake unamfanya nini?niko nyuma yako
We kacheze kombe la Sanda inatoshaVikombe vya mchongo hivi. Vyura bana, ingekuwa Simba ndiyo imeenda kucheza kikombe kinaitwa Mpumalanga huu mji usingekalika wa hizo kejeli, ila kwa kuwa ni wao, aaah!