Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini mkubwa???yanga bado sana. quality kubwa ila bado sana
Weee apia. 🤣🤣Uto wana draw na kikosi C
Chama Mwamba WA mfalmeNani kafunga?
Huyu anataka Diarra, Aziz K, Hersi, Pacome, Gamondi, Max Nzengeli, na Baka waondoke kwanza Yanga ndiyo atarudi kuishabikiaKwanini mkubwa???
Quality kubwa afu bado sana sijaelewa hapo nielekeze
Apia......Uto wanapelekewa moto
NaapiaApia......
wanachezea uwanja mbaya hata wa kigoma hauko vile, hawa wasouth ndio wanajifanyaga dunia ya kwanza?
Wananchi Yanga SC kucheza mchezo wa pili wa kimataifa, Jumatano hii watacheza na TS GALAXY wenyeji wa mashindano ya Mpumalanga Premier International Cup
Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni
PIA SOMA
- Yanga yaalikwa Afrika Kusini kushiriki Mpumalanga Cup
View attachment 3050910
Kikosi cha Yanga kilichoanza
Acha vurugu mkwe!Chama Mwamba WA mfalme
Uko wapi....Huko nje hamna tofauti na Pamba au Ihefu😁😁😁
Kichapo tu
Mkwe ngapi ngapiAcha vurugu mkwe!
Hahaha kama mzee magomaHuyu anataka Diarra, Aziz K, Hersi, Pacome, Gamondi, Max Nzengeli, na Baka waondoke kwanza Yanga ndiyo atarudi kuishabikia