Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Wapo waliosajiliwa ambao si watu wa kazi? Maana imebidi niangalie mara mbili mbili ili nijue ni ubovu wa kiwanja au uwezo wa watu wa kazi?Subiri mpira kipindi cha pili ndio utawaona watu wa kazi wenyewe. Leo kocha kaamua kila mchezaji acheze na sio matokeo