FT: TS Galaxy FC 0-1 Young Africans FC | Mpumalanga cup | kanyamazane Stadium | 24 July 2024

FT: TS Galaxy FC 0-1 Young Africans FC | Mpumalanga cup | kanyamazane Stadium | 24 July 2024

Sikuelewi unaongelea nini! Jikite kwenye mada

'TS Galaxy FC vs Young Africans FC | Mpumalanga cup | kanyamazane Stadium | 24 July 2024'​

Yanga hainisaidii kitu... Usije kuniambia mambo ya mpira...
 

Wananchi Yanga SC kucheza mchezo wa pili wa kimataifa, Jumatano hii watacheza na TS GALAXY wenyeji wa mashindano ya Mpumalanga Premier International Cup

Mechi hii itapigwa kuanzia saa 10:00 jioni

PIA SOMA
- Yanga yaalikwa Afrika Kusini kushiriki Mpumalanga Cup
Kila la kheri timu yangu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara 💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚 sisi sio kama ubwela fc na mwaka huu tunabeba tena ubingwa Cc ephen_
Aminnnnn
 
Ni kukosa kazi, mtu anaamka na uzi wa Yanga unadhani ana majukumu ya kufanya kweli huyo? Ushabiki huu wa kimasikini unapoteza kizazi chetu, hatukatazwi kushabikia team zetu lakini isiwe too much kiasi cha kusahau majukumu mengine.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Kwani muda wa majukumu unafanana?

Unajuaje kama mleta mada muda alioanzisha uzi ndiyo muda wake wa mapumziko baada ya kutoka kwenye majukumu?

Ifikie mahali tusidhani watu wote tuna majukumu yanayofanana kuanzia aina ya majukumu, asili ya majukumu na muda wa majukumu.

Inawezekana kabisa mwingine muda wake wa majukumu ni usiku kucha anatoka asubuhi na mwingine anaingia asubuhi anatoka jioni.
 
Yaani mechi ya kirafiki unafungua uzi usiku wote huu?
20240329_234318.jpg
 
Back
Top Bottom