FT: TS Galaxy FC 0-1 Young Africans FC | Mpumalanga cup | kanyamazane Stadium | 24 July 2024

FT: TS Galaxy FC 0-1 Young Africans FC | Mpumalanga cup | kanyamazane Stadium | 24 July 2024

Mpira si burudani kwani pana mtu inamsaidia Yanga,Simba au Madrid Mzala vip umevurugwa?
Amna, mpira haupandi tu kama nisivyopenda vitu vingine... Sio kwamba nimevurugwa... Na kwa upande wangu sio burudani ila naafiki ni burudani kwa wengine maana najionea
 
Kila la kheri timu yangu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara 💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚 sisi sio kama ubwela fc na mwaka huu tunabeba tena ubingwa Cc ephen_
Mnapenda sana kujilinganisha na mnyama😁 Hilo ndilo kombe ambalo mnaweza kuchukua ila huko nje hamna tofauti na Ihefu au mashujaa FC😁😁😁
Leo kipigo tena😁😁😁
 
Mnapenda sana kujilinganisha na mnyama😁
Leo kipigo tena😁😁😁
Not like us
20240718_154411.jpg
 
Ni kukosa kazi, mtu anaamka na uzi wa Yanga unadhani ana majukumu ya kufanya kweli huyo? Ushabiki huu wa kimasikini unapoteza kizazi chetu, hatukatazwi kushabikia team zetu lakini isiwe too much kiasi cha kusahau majukumu mengine.

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Kwani kuanzisha uzi wa Yanga haiwezi kuwa ndo jukumu lake?
 
Mnapenda sana kujilinganisha na mnyama😁 Hilo ndilo kombe ambalo mnaweza kuchukua ila huko nje hamna tofauti na Ihefu au mashujaa FC😁😁😁
Leo kipigo tena😁😁😁
Ihefu au Mashujaa iliyokufunga wewe MAN U tano..!!! Kweli nyie ni mbumbumbu FC
 
Back
Top Bottom