Mayala masuka
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 449
- 795
MItaonekana kwa TV?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MItaonekana kwa TV?
,tHawa Galaxy ndio walikua wanamfunga Mamelodi na Pirates Timu ipo humo ngoja tusubiri boli la maana hiyo baadae..
Amna, mpira haupandi tu kama nisivyopenda vitu vingine... Sio kwamba nimevurugwa... Na kwa upande wangu sio burudani ila naafiki ni burudani kwa wengine maana najioneaMpira si burudani kwani pana mtu inamsaidia Yanga,Simba au Madrid Mzala vip umevurugwa?
HawakataziMbona uzi umekuja mapema mno?
Kwani wanakataza?Ndio muandike uzi usiku wa manane mechi ya kirafiki, UJUHA
Saa 10 jioni!!Ni Saa Ngapi Kaka?
Mnapenda sana kujilinganisha na mnyama😁 Hilo ndilo kombe ambalo mnaweza kuchukua ila huko nje hamna tofauti na Ihefu au mashujaa FC😁😁😁Kila la kheri timu yangu pendwa kutoka kusini mwa jangwa la Sahara 💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚 sisi sio kama ubwela fc na mwaka huu tunabeba tena ubingwa Cc ephen_
Not like usMnapenda sana kujilinganisha na mnyama😁
Leo kipigo tena😁😁😁
Kwani kuanzisha uzi wa Yanga haiwezi kuwa ndo jukumu lake?Ni kukosa kazi, mtu anaamka na uzi wa Yanga unadhani ana majukumu ya kufanya kweli huyo? Ushabiki huu wa kimasikini unapoteza kizazi chetu, hatukatazwi kushabikia team zetu lakini isiwe too much kiasi cha kusahau majukumu mengine.
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Huko nje hamna tofauti na Pamba au Ihefu😁😁😁Not like us View attachment 3050843
Ihefu au Mashujaa iliyokufunga wewe MAN U tano..!!! Kweli nyie ni mbumbumbu FCMnapenda sana kujilinganisha na mnyama😁 Hilo ndilo kombe ambalo mnaweza kuchukua ila huko nje hamna tofauti na Ihefu au mashujaa FC😁😁😁
Leo kipigo tena😁😁😁
Baadae usikimbie mkuu 😂😁Huko nje hamna tofauti na Pamba au Ihefu😁😁😁
Kichapo tu