FT: TS Galaxy FC 0-1 Young Africans FC | Mpumalanga cup | kanyamazane Stadium | 24 July 2024

FT: TS Galaxy FC 0-1 Young Africans FC | Mpumalanga cup | kanyamazane Stadium | 24 July 2024

Mechi za maandalizi ndio hizi Sasa sio timu zinatafuta kucheza mechi na timu za daraja la 2 zinazoshuka daraja alafu zinajipambanua kuwa ziko vizuri
Na ubaya ubwela, zinachezwa kwa vipindi vitatu.
Yaani wanaanza wanacheza dakika 40 wanapumzika DK 15.
Wanacheza tena DK 40...
wanapumzika khaaah 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom