FT: TS Galaxy FC 0-1 Young Africans FC | Mpumalanga cup | kanyamazane Stadium | 24 July 2024

Ndio maana Diara alikuwa anapoteza muda. Mimi nilidhani ni mechi za kirafiki, kumbe kuna kombe kabisa
Hakuna kombe kuna, timu nne mechi Yanga kacheza mbili tu hajacheza na Mbabane. Ila ndio kamaliza fixture yake ya mualiko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…