FT: TS Galaxy FC 0-1 Young Africans FC | Mpumalanga cup | kanyamazane Stadium | 24 July 2024

Vikombe vya mchongo hivi. Vyura bana, ingekuwa Simba ndiyo imeenda kucheza kikombe kinaitwa Mpumalanga huu mji usingekalika wa hizo kejeli, ila kwa kuwa ni wao, aaah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…