mi nasemaje huyu Metacha atanifanya niache kuangalia game za Yanga, yaani kila akicheza lazima atanichefua.
KWA NINI HALIFUKUZWI?
kwa hiyo yeye na mnata unamchagua naniMsheri ni shati tu sio kipa mwenye uzoefu
Kichekesho ni kuwa refarii amebadili uamuzi kwa kufuata maelekezo ya wachezaji wa Yanga na sio kusaidiwa na mshika kibendera.
Msheri ni shati tu sio kipa mwenye uzoefu
Dubeeeeee [emoji1787]Mimi ni Yanga lia lia ila acha niseme ukweli team kwa sasa ni mbovu mno, kocha mbishi yeye na benchi lake la ufundi hawajui walitendalo kabisa [emoji16]
Mimi ni Yanga lia lia ila acha niseme ukweli team kwa sasa ni mbovu mno, kocha mbishi yeye na benchi lake la ufundi hawajui walitendalo kabisa [emoji16]
Dubeeeeee [emoji1787]
Haikuwa penati, ila hakupaswa kuambiwa chakufanya na timu inayoadhibiwaLakini je ilikua ni pernat?
Hajui afanye nini, pale hatuna kochi mkuuGamond kakaa kimya mpaka sasa
Ngoja Wajelajela wasawazisheGamond kakaa kimya mpaka sasa
Kuna uwezekano mkubwa wa Azam kutupora ubingwa mkuuHaina noma mwanetu
Mashabiki kanjanjaKuna uwezekano mkubwa wa Azam kutupora ubingwa mkuu
Atatupora nafasi ya pili [emoji23]Kuna uwezekano mkubwa wa Azam kutupora ubingwa mkuu