FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

Hela za kuhonga wachezaji na waamuzi zimepungua.
Kwa sasa waamuzi pekee ndio wananufaika na pesa za utopolo
 
Amepewa kadi kwasababu aliushika ule mpira.
Na ni Nondo alimpiga push
Tatizo na yeye alianguka kirahisi sana. Kwangu mimi mwamuzi alikuwa sahihi. Kwa mpira wa miguu, purukushani ni jambo la kawaida.
 
Yaani mkuu huku nyuma tuna magarasha mengi sana, mwamnyeto, magolikipa wote hawa wawili msheri na mwenzake metacha, fred[emoji706][emoji706]
Nimemuangalia Eric Johora kwenye mechi kadhaa alizocheza baada ya kuondoka Yanga! Aisee hawezi kulinganishwa uwezo wake na hao walinda mlango wawili.

I wish angerejeshwa msimu ujao ili ampe changamoto Djugui Diarra.
 
😂😂😂 Huwezi kuwa na Diarra then Goli kipa namba 2 awe vizuri
 
Point 3 muhimu 13 win 1 draw na lose 1 sio mbaya ila team ijitafakari inaonekana wachezaji hawapumziki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…