Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Mpaka ligi iishe utakuwa kichaa tayari..!! Tunapiga huyo mwana wa makolo FC, mwana wa Mbumbumbu FC, mwana wa wachawi FC kama mlivyopigwa nyie 5. Na baada ya hapo tutaanzisha group la whatsApp la waliopigwa 5 na Yanga..!!Wanetu wa Prison.
Najua mmeangalia game mbili za Mwanzo walizocheza Uto.
Mmeona kabisa jinsi ilivyorahisi sana kuwakaba.
Mkishindwa kuwafunga basi iishe bila bila.
Uwezo mnao.
Mkeka ushachanikaHii nishaibetia kabisa.
Kwa Mbeya hamchomoki.
Pamoja na pilika pilika zenu nyingi mno.
Mtashangazwa!!
Tukutane baada ya game.Mkeka ushachanika
Mmeanza kutafuta kisingizio hata game haijaanza yani!!Kila la heri kwa Wananchi. ππ
Muhimu tu uwanja uwe na unafuu. Maana kwenye msimu huu wa mvua huo uwanja huwa unageuka kuwa jaruba la kupandikizia mpunga.
Nyie huwa mnakimbia nyuzi maji yakiwafika Shingoni.Mpaka ligi iishe utakuwa kichaa tayari..!! Tunapiga huyo mwana wa makolo FC, mwana wa Mbumbumbu FC, mwana wa wachawi FC kama mlivyopigwa nyie 5. Na baada ya hapo tutaanzisha group la whatsApp la waliopigwa 5 na Yanga..!!
Tulia wewe, sisi sio wa kuhemea sare dakika za nyongeza.Aisee! mmeingiza upepo mapema sana.
Wala, nasema ukweli ambao haupingiki kwamba Prison huwa wanatusumbua.Ukht mbna unaogopa!!!!
Ngoja tuone hawa nguvu kwa nguvuWala, nasema ukweli ambao haupingiki kwamba Prison huwa wanatusumbua.
Leo tuwapangie watu wa kazi, nataraji kumuona Sureboy pale kati.Ngoja tuone hawa nguvu kwa nguvu
Naamini key amerudi ....Aucho aanze....tukiweza kuwakimbiza wasicheze kabisa labda butu butu lao...Leo tuwapangie watu wa kazi, nataraji kumuona Sureboy pale kati.
πππ.Tulia wewe, sisi sio wa kuhemea sare dakika za nyongeza.
Neutral..Leo macho na masikio yangu ni kwa fundi Gwede tu.
Kesho nageuzia kwa Freddy.
Kuna raha fulani kumtizama mchezaji mwenye nia ya kufunga goli lakini anashindwa.
Simba kesho tunataka Pa Omar Jobe aanze.
Ana vitu flani flani vinanivutia sana.