FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

Wananchiiiiii happy birthday to Chama kubwa DAR YOUNG AFRIKA [emoji169][emoji172]
Leo Nipigieni Hao Wajelajela Bao 3 Bila
 
Leo macho na masikio yangu ni kwa fundi Gwede tu.
Kesho nageuzia kwa Freddy.
Kuna raha fulani kumtizama mchezaji mwenye nia ya kufunga goli lakini anashindwa.

Simba kesho tunataka Pa Omar Jobe aanze.
Ana vitu flani flani vinanivutia sana.
Guede ana kitu apewe mechi zaidi.
 
Guede ana physique nzuri, wepesi na uwezo wa kuuchezea mpira, uwezo mzuri wa kucheza mipira ya kichwa na miguu, pia sio mchoyo na anakaba. Amekaa bila kucheza kiushindani huko alipotoka, tumpe muda kila mechi acheze.
 
mpira umeanza ndugu
 
Benchi ufundi mpangeni akishakuwa fit Mayele huyu hapa
 
Screenshot_20240211_151531_Instagram.jpg
 
Gamondi leo Kawanzisha Mzize na Musonda kwa Pamoja.

Aziz K na Guede wanaanzia benchi.
Nia yake ni kuusoma kwanza mchezo ama?
 
Back
Top Bottom