Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuko na golikipa Metacha anadaka hata akiwa benchi.Diarra bado hajarudi!!
Kwani Metacha kasajiliwa kama Golikipa au kocha?Kwa akili za Gamondi, msije mkashangaa golini akampanga Metacha.
Guede ana kitu apewe mechi zaidi.Leo macho na masikio yangu ni kwa fundi Gwede tu.
Kesho nageuzia kwa Freddy.
Kuna raha fulani kumtizama mchezaji mwenye nia ya kufunga goli lakini anashindwa.
Simba kesho tunataka Pa Omar Jobe aanze.
Ana vitu flani flani vinanivutia sana.
mpira umeanza nduguGuede ana physique nzuri, wepesi na uwezo wa kuuchezea mpira, uwezo mzuri wa kucheza mipira ya kichwa na miguu, pia sio mchoyo na anakaba. Amekaa bila kucheza kiushindani huko alipotoka, tumpe muda kila mechi acheze.
Benchi ufundi mpangeni akishakuwa fit Mayele huyu hapaGuede ana physique nzuri, wepesi na uwezo wa kuuchezea mpira, uwezo mzuri wa kucheza mipira ya kichwa na miguu, pia sio mchoyo na anakaba. Amekaa bila kucheza kiushindani huko alipotoka, tumpe muda kila mechi acheze.
Match si ni saa 10?mpira umeanza ndugu
Mayele ana akili, sio rahisi arudi nyumaBenchi ufundi mpangeni akishakuwa fit Mayele huyu hapa
Sahihi, sasa hivi wanacheza Tabora vs NamungoMatch si ni saa 10?
Sherehe inaingia dosariWananchiiiiii happy birthday to Chama kubwa DAR YOUNG AFRIKA [emoji169][emoji172]
Leo Nipigieni Hao Wajelajela Bao 3 Bila
Kama ulijuaKwa akili za Gamondi, msije mkashangaa golini akampanga Metacha.
Hapo sub aingie Aziz Ki na Okrah bas anamaliza mchezoGamondi leo Kawanzisha Mzize na Musonda kwa Pamoja.
Aziz K na Guede wanaanzia benchi.
Nia yake ni kuusoma kwanza mchezo ama?