Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Mpaka ligi iishe utakuwa kichaa tayari..!! Tunapiga huyo mwana wa makolo FC, mwana wa Mbumbumbu FC, mwana wa wachawi FC kama mlivyopigwa nyie 5. Na baada ya hapo tutaanzisha group la whatsApp la waliopigwa 5 na Yanga..!!Wanetu wa Prison.
Najua mmeangalia game mbili za Mwanzo walizocheza Uto.
Mmeona kabisa jinsi ilivyorahisi sana kuwakaba.
Mkishindwa kuwafunga basi iishe bila bila.
Uwezo mnao.