Na mimi nimekuuliza swali…Nimejibu kwa kifupi juu ya swali
Ni 50/50 Ila naona bongo patamshinda mapema tuGuede ni usajili makini sana. Ni suala la muda tu
Amen [emoji120]May that player recover quickly.
Pua ya MJ tena jamani? 🤣🤣🤣Wamelegea kama pua ya Michael Jackson Leo wasipokua Makini watapigwa kama Ngoma
Wengine ni machaguo ya bench la ufundiNa mimi nimekuuliza swali…
we huoni Yanga inacheza kama Barcelona ya kina Xavi na inesta [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]Pua ya MJ tena jamani? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mkuu Guede ana sifa zote, ni ball controller, ana nguvu, ana speed, amekosa tu match fitness maana alikaa muda mrefu bila kucheza. Tutakumbushana siku moja huko mbeleniNi 50/50 Ila naona bongo patamshinda mapema tu
Mwenyewe nilikua najiuliza sijui kusoma auHuyo Farid mbona kwenye kikosi hayupo?
Hahahaaa! Utajiju jirani.
Hawana hicho kiwangowe huoni Yanga inacheza kama Barcelona ya kina Xavi na inesta [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
Tatizo ni moja yeye ndo amekuja kama mbadala wa Mayele baada ya Konkoni kuchemka so watu hawana huo muda wa kumskilizia...Mkuu Guede ana sifa zote, ni ball controller, ana nguvu, ana speed, amekosa tu match fitness maana alikaa muda mrefu bila kucheza. Tutakumbushana siku moja huko mbeleni
Sidhani kama hili linahitaji maelezo maana linajulikanaYanga ndio timu pekee hapa nchini ambayo inaweza kupiga hadi pasi 50 bila kupoteza mpira, hata wakicheza kwenye majaruba
Asante sahivi nasikiliza kwenye kiredio changu kibovuPole mkuu