FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

FT: TZ Prisons FC 1-2 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium | 11.02.2024

Mkuu Guede ana sifa zote, ni ball controller, ana nguvu, ana speed, amekosa tu match fitness maana alikaa muda mrefu bila kucheza. Tutakumbushana siku moja huko mbeleni
Tatizo ni moja yeye ndo amekuja kama mbadala wa Mayele baada ya Konkoni kuchemka so watu hawana huo muda wa kumskilizia...
Huku watu wanataka matokeo basi...
 
Tanescooooooooooooooooooo [emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955][emoji2955]
What the fuckkkkkkkkkkk
 
Back
Top Bottom