FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

Ile mechi nadhani wachezaji na kocha waliambiwa ukubwa wake na vongozi wakajipanga haswa kwavile ni derby. Hivyo wachezaji walipania kutoa surprise kwavile Yanga ndiye anajulikana kama ndiye favorite kushinda. Ni kama tu Yanga ilivyokuwa mbovu ikikutana na Simba ikiwa katika ubora wake wanavyokuwa. Huwezi kuamini kama ndiyo hii Yanga mbovu inaupiga mpira mwingi hivyo, ni upepo wa derby ty
Ila kwa mimi simba inaimarika kaka.
Ispokua inavyoonekana falsafa za kocha kidogo bado hazijawaingia wachezaji.
 
Back
Top Bottom