ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Nipo peke yangu tu😂Aya mhaya pis kali.
Wacha sisi tumtizame 5imba tukimsubiri Mancity na chelsea.
Upo na Lucas Mwashambwa!??
Maana yule bunji ana wivu sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo peke yangu tu😂Aya mhaya pis kali.
Wacha sisi tumtizame 5imba tukimsubiri Mancity na chelsea.
Upo na Lucas Mwashambwa!??
Maana yule bunji ana wivu sana.
Walikamia tu,ila hawakuwa vizuri,mechi ambayo simba walicheza vizuri ni ile ya simbana yanga tuMbona mechi za ngao ya jamii Simba alicheza kwa ufanisi mkubwa sana game zote mbili!??
Kwan Ong Bak anamakosa ganKwa hii mikimbio makundi shirikisho hatutoboi na ong bak ana mwezi mmoja atafukuzwa😂😂😂
KweliMechi ya 4 hivi, sioni uwezo wa kutengeneza clear chances ( build up )
Ningekua na contact zako ningelikupigia nikujie hapo.Nipo peke yangu tu😂
WapiMshindwe tu kujipigia 10
Kumbe mlipinga!😂 sasa ushachelewaNingekua na contact zako ningelikupigia nikujie hapo.
Maana bado nina battle na bunji ya kukukwiba.
Ong bak hajui kupanga kikosiKwan Ong Bak anamakosa gan
Hata ya Coastal walicheza vizuri kaka.Walikamia tu,ila hawakuwa vizuri,mechi ambayo simba walicheza vizuri ni ile ya simbana yanga tu
Astaghafirullah 😁🤣😂Uzi wa simba unataja vyura?
si unamuona madevu pale pembeni inanikumbusha kipindi kile cha kina boccoHivi huyu kocha wa simba huwa anapangiwa kikosi au ni jeuli tu, hivi inakuwaje kocha kila siku anawakumbatia kina mzamiru na kapombe licha ya kuwa wameonyesha uwezo mdogo na kuwaacha wachezaji wazuri kwenye benchi kama okejepha, kagoma na kijili