FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

Hivi huyu kocha wa simba huwa anapangiwa kikosi au ni jeuli tu, hivi inakuwaje kocha kila siku anawakumbatia kina mzamiru na kapombe licha ya kuwa wameonyesha uwezo mdogo na kuwaacha wachezaji wazuri kwenye benchi kama okejepha, kagoma na kijili
si unamuona madevu pale pembeni inanikumbusha kipindi kile cha kina bocco

umesajili wachezaji si uwachezeshe unawaweka benchi wafanye nini unakomaa na wazee
 
Mbona mechi za ngao ya jamii Simba alicheza kwa ufanisi mkubwa sana game zote mbili!??
Ile mechi nadhani wachezaji na kocha waliambiwa ukubwa wake na vongozi wakajipanga haswa kwavile ni derby. Hivyo wachezaji walipania kutoa surprise kwavile Yanga ndiye anajulikana kama ndiye favorite kushinda. Ni kama tu Yanga ilivyokuwa mbovu ikikutana na Simba ikiwa katika ubora wake wanavyokuwa. Huwezi kuamini kama ndiyo hii Yanga mbovu inaupiga mpira mwingi hivyo, ni upepo wa derby ty
 
Back
Top Bottom