EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 3,050
- 5,420
Itaunganika msimu ujaoo ngoja kwanzaTimu haina muunganiko wachezaji wanakinbia hovyo, huyu Mutale ni Saido aliyezubaa. Ong bak atuachie timu yetu na Mo aondoke
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itaunganika msimu ujaoo ngoja kwanzaTimu haina muunganiko wachezaji wanakinbia hovyo, huyu Mutale ni Saido aliyezubaa. Ong bak atuachie timu yetu na Mo aondoke
Mpunga my wenu🐖🐖🐖🐖 au mpunga moooo!??Nipo kwenye sherehe nabinya mpunga, msalimie Ki akee
Kauli ya timu hainamuunganiko itasemwa mpaka mechi ya 30 ya ligi 🤣Timu yangu jamani[emoji24][emoji24]
Sawa sawa salamu zimefika Cc min -meNipo kwenye sherehe nabinya mpunga, msalimie Ki akee
Uzi wa simba unataja vyura?
Hii timu pasua kichwa sijui hata wachezaji wana shida ganiKauli ya timu hainamuunganiko itasemwa mpaka mechi ya 30 ya ligi [emoji1787]
Mpunga na kitu cha ndegeMpunga my wenu🐖🐖🐖🐖 au mpunga moooo!??
Ngapi ngapi mkuu.. nani katupiaHii timu pasua kichwa sijui hata wachezaji wana shida gani
Tawi laoHii Simba inavyoonekana haijamchukulia serious TBR.
1 bila ukuta wa yeriko,lakini mpira wetu bado sana,kama tuko mazoeziniNgapi ngapi mkuu.. nani katupia
Kocha Muchina si muchina kama MThailand!Timu haina muunganiko wachezaji wanakinbia hovyo, huyu Mutale ni Saido aliyezubaa. Ong bak atuachie timu yetu na Mo aondoke
Wacha wee vunja broiler mama uzidi kujambia mbali😁😁😁😁.Mpunga na kitu cha ndege
Simba anaongoza kwa bao 5 kwa 1 hadi sasa dakika ya 20. Mukwala na Atteba wanapaswa moto huku bila kumsahau Debora.Ngapi ngapi mkuu.. nani katupia