FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

Unataka tuipime na mbeya city au..?
Comparison should be on all parameters, usijichagulie kichaka chako cha kufanya comparison alafu vingine una ignore.
Ukichukua kila parameter lazima ukute Simba ipo juu ya Tabora. Haya njoo na parameters zinazoonesha Tabora kumzidi Simba au hata kulingana. Twende kwa hoja. Mimi nimetoa parameter tatu ya kwanza ni squad budget, ya pili squad quality na ya tatu ni match fitness. Haya njoo na parameters zako wewe
 
Wewe unaonaje
Wing-back inatumika katika formation kama 3-5-2 au 3-4-3 au vyovyote tu ili mradi ucheze na mabeki wakati watatu.

Wale mafull back ndio wanakuwa ma-wing back wanageuka kuwa mawinga wakati wa kushambulia, na wanarudi kuwa mabeki wakati wa kushambuliwa.

Mfumo wa sasa Simba wanacheza
4-2-3-1 ambapo wanatumia full back na sio wing-back
 
Back
Top Bottom